Monday, April 19

Birthday party ya X - slides

Kama kawiada, wadau wali-s;lide sana kwenye party hiyo...kamchezo haka zamani kalikua na jina zuri sana, ila siku hizi watu wana tafsiri mbovu, hata sijui niiteje kwa kiswahili!

 
X akipanda...

...halafu akashuka kitumbotumbo...

Ba'mtu Innocent Mfumu akimpa push mdau Khloe...kushoto ni ma'mtu Rosemary, na mdau Harrieth kababwa na mama yake Regina.

Iqrah nae anaendaaaa......Aurelia...
...Briton...

...Andre...

Henry...mam anachungulia kwa mbali!

usiku umeingia, birthday party imeisha wadau wakaamia nje!

warembo Harrieth na Iqrah!

...nani anataka lift home?

...aku hata mi nna langu...

...at last wakapanda sijui farasi wa aina gani wote, ila Harrieth ndio alikua anaendesha!

*****
Asanteni wooote kwa kuja na kuwaleta wadau kwenye birthday party ya Xchyler, walichangamsha sana sherehe, kwa kweli ilikua nzuri sana, maana hamna mtoto aliyezubaa, wote walikua bize na wamechangamka.
Xchyler alicheza sana na alifurahi sana, yani alilala mara tu alivyoingia kwenye gari hadi asubuhi, (nasikia wadau wengi walikua hoi!)
Pia asanteni wooote kwa zawadi, yani hayo magari inabidi tuyatafutie parking walau kwa jirani! Jumapili asubihi alikua anashika toy moja baada ya nyingine!
Shukrani za pekee ziwafikie Bibi na Babu X kwa kudhamini sherehe hii, asanteni sana, mjukuu kafurahi sana!

3 comments:

Anonymous said...

Hongera kwa kukuza. Mungu awabariki sana, X awe msikivu na mtiifu kwa wazazi wake. Amina.

Anonymous said...

hongera baby x, ila mama x inabidi uongeze na kengine sasa............

Mungu amjaalie maisha marefu yaliyo na baraka tele

Anonymous said...

HAPPY B.DAY MTOTO MZURI X. DADA MUNGU AZIDI KUKUKUZIA. NAOMBA SALA ZAKO MIMI NIKO NJIANI (KUJIFUNUGA). (IRENE)