Wednesday, April 21

Happy birthday Samora

Leo mdau Samora Hr Lyakurwa anatimiza miaka miwili(2).

Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tumtakia Samora maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.

No comments: