Wednesday, April 21

Happy birthday Erastus na Dastan

Wadau mapacha, Erastus na Dastan wakisherehekea kutimiza miaka minane (8) ya kuzaliwa hivi karibuni.

 Sherehe ya birthday ilifanyika ukumbi wa Rufita club Tabora.


Mama yao Mosi Tambwe anasema, "nawapenda sana watoto wangu na ninaomba mungu awape afya njema"
Na sisi wadau wa Mama na Mwana tunawatakia Erastus na Dastan maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu awajaalie sana.

No comments: