Friday, April 2

Happy Birthday Mercy

Leo mdau Mercy Sakaya anatimiza miaka kumi na sita (16).

Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tumtakia Mercy maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.

2 comments:

Anonymous said...

Happy bday dear Mercy, Mungu akubariki ukuwe kwa hekima na kimo ukampendeze Mungu kwanza kisha wanadamu!

Anonymous said...

Hey Jiang, thank you very much for he Birthday wish...i really do appreciate it!!!

Take care and God bless!

-Mercy Sakaya