Thursday, April 29

Kutoa ni moyo...Saidia wadau wanaoishi kwenye mazingira magumu!

Kwa watu wote wenye mapenzi mema kwa wananchi wenzao hasa watoto wanaoishi katika mazingira magumu/hatarishi. Uongozi mzima wa kituo cha watoto cha Guardian Angel kinachosaidia watoto wanaoishi katika mazingira magumu, tunaomba ushirikiano wako katika kusaidia kwa mavazi, chakula, na msaada wowote utakaoweza kuwasaidia watoto hawa pamoja na walezi wao. katika kila utakapotoa kwa moyo hata kama ni kidogo kwetu sisi na watoto hao ni kikubwa sana na Mungu akubariki sana na kukuongezea maradufu.  
Wasiliana nasi kwa namba hizi 0757 855858 au 0655 855858 au email: mirium0280@yahoo.com

No comments: