Thursday, April 29

Happy birthday Aurelia

 (Hii picha ni ya juzijuzi, kwenye bday party ya X, mdau alitoka mchicha ndani ya kitenge!)

Leo mdau Aurelia Croft anatimiza miaka mitatu(3).

Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tumtakia Aurelia maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.
*****
Tam tam inaliwa Jumapili hii, picha ntazileta mwenyewee, Jumatatu!

No comments: