Friday, April 30

Happy birthday Neema

Mdau Neema Kroener anafunga mwaka leo, yani anatimiza mwaka mmoja!
Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tumtakia Neema maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.

3 comments:

Anonymous said...

HAPPY BIRTHDAY NEEMA FROM DERRICK AND DENNIS MMUNI.

Anonymous said...

Happy Birthday Neema,Hongereni sana Dada Devother and Shem Micha mmekuza..
Mamdogo Letty.

Mamdo said...

Asante mama X kwa kutukumbuka.Nanyi Mbarikiwe sana.Mamdo.