Friday, April 30

Introducing Bella


Huyu ndio mdau mpya, Bella, aliyezaliwa Alhamis iliyopita.
Cuuuuuuuuuuuuuuute!


Hapa akiwa na baba yake, Dr Moses Ringo, aka Dr Mo, siku hizi anakwambia "niite Baba Bella"

Ba'mtu anamgeza mdau...kidole!

...wanapinga urafiki mapemaaa...sweet!

1 comment:

Unknown said...

Raha sana kuona mwanaume anajali kama hivi.