Thursday, April 15

RATIBA YA CHAKULA CHA WATOTO KUANZIA MIEZI 9 ½ MPAKA MIAKA 6


Thanks  Chef Issa kwa ratiba nzuri.
KWANZA: nimeshindwa kuiupload ikaonekana vizuri, ila wanaotaka kuiona vizuri wabonyeze HAPA 

PILI: mi naomba ya kibongobongo, yani vyakula ambavyo naweza nikavipata kirahisi kwenye masoko yetu ya kawaida.
Halafu nafasi ya uji vipi, maana kibongo tushazoea, mtoto wa umri huo uji mara mbili kwa siku, asubuhi na jioni, kama wangu unga wa uji una virutubisho vyote, as ni home made by bibi mwenyewe, na mimi huwa naona afadhali akose vyote sio huo uji, maana wenyewe una kila kitu, sas hapo unasemaje?

1 comment:

Anonymous said...

hongera mumy kwa kukuza mwana.Naomba msaada unitolee kwenye blog yako list ya chanjo mtoto anazopewa kuanzia siku ya kwanza anapozaliwa hadi anatimiza mwaka mmoja.