Wednesday, April 14

Birthday ya Kelvin ilifana

Jumapili ilikua siku ya kuzaliwa mdau Kelvin Pongo, alitimiza miaka miwili.
Akipanda juu ya kochi ili aone vizuri...
Hii ndio shsrehe yenyewe ilivyokua, si mchezo, wadau walikua kibao.
 Akizima mshumaa...

 Kata keki tuleee....
 Mama anasaidia zoezi 

 akijilisha tam tam, lazima ianzie kwake...

...nani kama mama...Kelvin akimlisha mama.
Sherehe ilifana kwelikweli...


2 comments:

Anonymous said...

Mambo Vipi mama X.
Congrats for the nice blog ina mambo mazuri.
Kwa hapa bongo wajua wapi wanauza those bembea za watoto, i saw it in ur archives I think na ningependa mwanangu awe nayo. Please kama wajua let me and others who would like to have it kujua wapi twaweza kupata nice n different baby gadgets. Thanks and Keep it up

BabyAmore said...

Happy Birthday Kelvin