Kama tulivyomuomba, Chef Issa ametutumia ratiba ya chakula ya kiswahili.
*****
Wapenzi wa blog hii naimani ratiba hii mtaipenda sana kwakua ipo
katika lugha ya kiswahili na vyakula ni vile vile vinapatika nyumbani
tanzania na kwingine kokote dunianai kwa urahisi sana hata kariakoo
sokoni vyote vinapatikana kwa bei nafuu.
Mafunzo jinsi ya kuandaa kila siku tutakua na funzo la siku hiyo
nitaweka post kuaznia leo kwa ratiba ya Jumatatu (leo) tembelea blog kwa
maelezkezo jinsi ya kuandaa www.activechef.blogspot.com
Nitaweka mafunzo jinsi ya kuandaa kuanzia mwanzo mpaka mwisho na
mahitaji yote pia nitaweka list ya vitu vyote unavyotakiwa kununua kwa
wiki nzima pia ukiniambia idadi na umri wa mtoto ninaweza kukuambia
bajeti ununue kiasi gani ili chakula kisikae sana na kisiharibike.
Nawatakia siku na kazi njema
Chef Issa

Asante sana Chef Issa, hiyo ratiba ya kiswahili nimeipenda mno, ya kizungu ilikua inanitia kizunguzungu kwa kweli, naamini wadau wengi wataipenda pia.
Libeneke lake linaitwa Culinary Chambers, hapo kulia kwenye Bongo Blogs unaiona, ukibonyeza hapo utampata akikuelekeza mapishi mablimbali kwa afya ya familia nzima!
No comments:
Post a Comment