Saturday, April 24

Watoto wanajifunza wapi kuchum?

Mdau Jayden Gwantwa Mwandoloma akiwa anataka kumchum aunt wake, Hannah Mwandomola. 
(si uani mtu na shangazi yake wametoka bomba!)

Wadau wengi wa umri fulani, hasa kuanzia mwaka mmoja hadi miaka mitatu wanapenda sana kuchum, na hasa wanatofautisha wanavyomchum mwanamke na mwanaume, X wangu anachum watoto wa kike mdomoni, wa kiume shavuni, na utakuta na wa kike nae anafanya hivyo hivyo.
Kinachonishangaza ni wanajuaje kama mimi mvulana, nisichum wavulana wenzagu mdomoni, ni shavuni, kila siku najiuliza, wanajuaje hizo tofauti?
Kama kuna daktari atusaidie tafadhali!

1 comment:

Anonymous said...

Sio kwamba wanaona wakubwa wao wanavyofanya? Maana watoto wadogo hujifunza sana kwa kuona hata uwakataze vipi kufanya jambo fulani, kama wanajua kwamba wewe unafanya na wanaona basi hawaachi.