Friday, April 23

Happy belated birthday Laura

 
  Birthday party ya mdau Laura Kileo iliyofanyika home kwao. Kinondoni Jumapili iliyopita, ya tarehe 18 April. Mdau Laura ametimiza mwaka mmoja!
Hapa yuko na dady....cuuute!


Laura na mummy.

tam tam...hii lazima ilikua tam!

...wadau kibao walihudhuria...huyu anaitwa Dereck...


...na huyu ni Abdul...

...wadu wengine...


birthday girl pamoja na kupendaza huku kwa ukweli, alikataa kukata cake wala kuzima mshumaa ikabidi dady yake afanye kazi hiyo kwa niaba, pia alikata kula hiyo tam tam yake...

 
hapa anadeka kwa babu!
****
Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tumtakia Laura maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.

No comments: