Friday, April 23

Natty anakula raha kwa bibi Tanga


 Mdau Natty yuko kwa bibi yake Tanga,ameenda tangu pasaka yani hapo alikuwa bize na kuku,mbuzi,mbwa na paka hata shati hakutaka kuvaa.pia Natty anamwambia X happy belated birthday. na pia anasema anawapenda watoto woteee.

No comments: