Thursday, April 22

Mdau Farhat anawapa hi

Huyu ni mdau mpya, ni Mdau namba One toka Mtwara, anaitwa Farhat Juma Shaweji.
Amezaliwa tarehe 2, January 2010. 
...akijivinjari home...
mtoto mashallah, afya imekubali, hongera ma'mtu Moza Mtepa, wa Pride Fm Radio, ya hukohuko Mtwara kwa kukuza.

No comments: