Thursday, April 22

Happy belated birthday Dorice

 Birthday ya mdau Dorice, alikua anatimiza miaka miwili hivi karibuni.
 Tam tam zilikua za kumwaga, rangi na aina tofauti...
huyo hapo ni ma'mtu.

 ...anamlisha mama...

...dady anamlisha birthday girl...

...anamlisha friend...

 mama na mwana...cuuute!

ZAWADI TYME!
my first pc...
baisikeli

Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tumtakia Dorice maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.

No comments: