Friday, May 7

Happy birthday Feisal

Mdau Feisal ametimiza mwaka mmoja siku ya mei mosi, tarehe 1, May.
Sherehe ya kuzaliwa kwa Feisal imefanyika Jumamosi iliyopita nyumbani kwa babu yake Mzee Mchirah hapa kwaminchi Tanga.
 
 Hapa mdau akifurahi na mama yake.

 Sherehe ilifana kwelikweli, mshumaa mzuri....

Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tumtakia Feisal maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.

No comments: