Sunday, May 2

Mdau Dorcas akijivinjari

Huyo ni mdau Dorcas wakati akiwa na umri wa mwaka mmoja na miezi mitano alienda kutembea na Baba yake huko Morogoro, hapa amepanda farasi huku baba akimwangalia pembeni.

Hapa na ma'mtu, Miriam Mndeme.

Hapa alikua akitoa mate mdomoni kwake na kumpaka baba yake usoni anasema mauta( akimaanisha mafuta)...hapo baba inabidi uwe mpole tu, ndio raha ya kuwa baba! Dorcas akiwa na mama yake.Napenda sana kutembea wakati wa week end sehemu za vijijini kuona mazingira na kubadili hali ya hewa wakati mwingine tunachoshwa na mazigira ya mjini.


Hapa ilikuwa ni kijiji flani kipo huko same -kilimanjaro kunaitwa Vudee( Nyumbani kwa bibi yake ma'mtu, yaani nyanya wa Dorcas) 
 
Hapa ma'ntu alienda na wanae kutembea kwenye kijiji kinaitwa Zuzu huku Dodoma.

Mama D anasema, "Wadau karibuni sana Dodoma"

No comments: