Tuesday, May 4

Happy birthday Destiny

Leo mdau Destiny Amina Hamad anatimiza miaka miwili (2)
Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tumtakia Destiny maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.No comments: