Wednesday, June 23

Happy birthday Lucete

Leo mdau Lucete  anatimiza miaka miwili (2).
Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Lucete maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana. 
 
*****

Ujumbe toka kwa ma'mtu, Veronica Lucas;
Namtakia maisha marefu na yenye baraka tele.
Anatimiza miaka miwili, nampenda sana mwanangu ingawa tupo mbali.
Nakupenda mamy!

No comments: