Friday, July 30

Birthday party ya Cleopatra

 'Malkia' Cleopatra alitimiza miaka miwili tarehe 17 July. Birthday party ya ilifanyika Sea Cliff Village.

 Hii ndio tamtam ilivyokua...hapa huwezi kubisha kuwa ilikua taaaam!

Birthday girl, pamoja na mdau wakiishangaa tamtam...

...mishumaa inawashwa...

...ilifana sana, wadau walifurahi sana!


Ujumbe toka kwa ma'mtu: Glory Mkwawa ninampongeza mwanangu Cleopatra kwa kufikisha miaka miwili tarehe 17 july. May God Bless her to blow hundreds candles.
 *****
Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Rogathe maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana. 

No comments: