Wednesday, July 28

Kayla day one shule

bigggg smileeee....Mdau Kayla Mgula akichakelea siku ya kwanza ya shule...

unaambiwa siku hiyo alikuwa na furaha ile mbaya hakubembelezwa kuoga wala kunywa uji.

bye mommy...
hapa ndio shule penyewe sasa...

Mama na Mwana wanamwambia mdau aendelee na moyo huohuo wa kupenda shule, kwani elimu ndio ufunguo wa maisha.

No comments: