Tuesday, July 27

Msaada: Bouncing castles...


Mdau wa The Guardian Angel anauliza, bouncing castle na mazagazaga yake, zinapatikana wapi? Mi nimesahau jina la ile kampuni inayokodisha, wadau saidieni tafadhali.Itakua vizuri akipata na bei za ukodishaji!!!

1 comment:

Anonymous said...

hao wanaohusika na vitu hivyo wanaitwa house of galamour...website yao hii hapa, http://www.houseofglamourtz.com/ utapata contact zao zote humo.