Tuesday, July 27

Maulid ya Moukhtar


Mdau Oumar Moukhtar Njonjo, siku ya Maulid ya arobaini.


Hapa mdau Moukhtar  akiimbiwa na wadau wengine, kina Mau, Zamwamwa, Chai na Ani.

 Moukhtar alivyo sasa...Hongera kwa kukuza ma'mtu!

1 comment:

Anonymous said...

Jamani wamama huo wanja hauwaweki rashes watoto au skin infection yaani kama madoa au mabaka mabaka? Ingawa kweli wanja suna lakini wazee wetu walikuwa wanawapaka watoto wanja wa asili na tena mara nyingi wanatengeneza wenyewe. Sasa huu wa kisasa hauna kemikali kama lead kweli?

Nauliza tu!