Tuesday, July 27

Happy birthday Colman

Leo mdau Colman anatimiza miaka miwili (2).

Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Colman maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.

No comments: