Saturday, July 24

Happy birthday Glory


Miss Glory Mroki a.k.a Binti Father Kidevu akiwatwangia simu marafiki zake kuwajulisha mashost zake kuwa yeye leo Julai 24 2010 saa 4 asubuhi ametimiza mika 2. Amewaandalia ndafu ya kuku home kwao Ukonga Mombasa mtaa wa Mazizini. 

Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Glory maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana. 

1 comment:

Anonymous said...

Utafiti kuhusu madhara ya simu za mkononi kwa ubongo wa binadamu bado zinaendelea na kwa hivi sasa, tahadhari imetolewa kutotumia simu kwa muda mrefu. Ikiwezekana, tumia text au handsfree. Kwa watoto pia kwani skull zao bado ni changa sana.

KK