Sunday, August 8

Happy birthday Cleopatrarita

Leo mdau Cleopatrarita Kato anatimiza anatimiza miaka mitatu (3).

Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Cleopatrarita maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.

1 comment:

Dorothy, Malcom & Mary said...

Hongera sana mdogo wetu Cleopatrarita, Mungu akupe afya njema na maisha mema na marefu!