Monday, August 9

Happy birthday Brian

Leo mdau Brian Kamugisha anatimiza anatimiza miaka miwili (2).

Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Brian maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.

1 comment:

Anonymous said...

Brian anawashukuru sana na anamshukuru Mungu kwa kumponya maana wiki iliyopita alikuwa anaumwa mpaka akalazwa hospitalini. Mama Brian