Friday, August 6

Happy birthday Ervin

Leo mdau Ervin Chonya anatimiza anatimiza miaka miwili (2).

Sie (dada'ke Emily,mama na baba) tunamtakia maisha mema,marefu na yenye mafanikio na MUNGU amtangulie katika kila jambo ktk maisha yake. Pia tunamwomba apunguze UTUNDU jamani!!!!.

Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Ervin maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.

3 comments:

Anonymous said...

Happy Birthday Baby Ervin! god bless u!

FROM COLMAN & COLLIN FRANCIS ARUSHA

Anonymous said...

Hi mama na mwana plz nisaidie wewe pamoja na wadau wengine vyakula gani mtoto anastahili kupewa kuanzia mwaka mmoja lishe ipi ni sahihi na ni kwa wakati gani. Nina mtoto wa mwaka mmoja anayakataa maziwa kabisa nyonyo alilikataa toka ana miezi kumi na maziwa ya kopo nayo hivyo hivyo nimemwanzisha ya ngombe nayo ni kwa mbinde vp nitumie njia gani na nimpe mlo gani? nashukuru.

Anonymous said...

Hongera sana Ervin kwa kufikisha miaka miwili mungu akubariki sana tunakuombea uwe bright future wa Tanzania ya kesho.