Thursday, August 12

Msaada wa tafsiri

Jiang naomba msaada. Pepopunda, kifaduro na donda koo kwa kingereza yanaitwaje? 

Natafuta kwa madaktari, ila kama kuna mdau anayejua msaada hapa!- Jiang

1 comment:

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) said...

Pepopunda - tetanus

Kifaduro - whooping cough

Donda koo - diphthenia

Surua - measles