Wednesday, September 8

Jameel alikua Dar zoo

Unajua kuwa Dar kuna zoo??? Kama hujui mdau Jameel ndio anakuonyesha mambo ya huko alipotembelea wakati yuko likozo maana wakati wa 77 alikuwa kwenye mitihani. 
 Jameel yuko na Rehema Mwakitalu.
 ...swagga za ukweeeeli!


Mi najua uwepo wa zoo, ila sikujua kama kuna mambo matam ya wadau...nikirudi tu break ya kwanza ni huko na X wangu!

No comments: