Wednesday, October 27

Brian kapata kaka na dada

(Hapa Brian anadeka, sasa keshakua kaka)
Mdau Brian Kamugisha kapata wadogo wawili; kaka na dada kwa mpigo.
Mama na Mwana inampongeza ba'mtu na ma'mtu bi Stella Nyemenohi kwa kupata mapacha, Mungu awajalie afya njema.

No comments: