Tuesday, November 2

Happy birthday Ethan

Leo mdau Ethan Kaare Jr anatimiza anatimiza miaka miwili (2).

Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Ethan maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana. 

No comments: