Tuesday, November 2

Karibu Felista

Mdau mpya, anaitwa  Felista Shoni Halvorsen. Mcuuute huyu alizaliwa tarehe 6 September 2010 Tønsberg - Norway.

Mama na Mwana inamkaribisha mdau, pamoja na ma'mtu Upendo S kwenye playgroung yetu.

No comments: