Wednesday, October 13

Happy birthday Lyzette-Malaika

Leo mdau Lyzette-Malaika Sayore anatimiza anatimiza miaka kadhaa (aliyejaza hajaandika mwaka wa kuzaliwa, so sijajua mdau anatimiza umri gani).

Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Lyzette-Malaika maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.

1 comment:

Anonymous said...

jamani Lyzette-Malaika ametimiza miaka mitatu,Hongera sana mwanangu mmmwaaa siku hiyo hiyo amebahatika kupata zawadi ya mdogo wake Lynette-Maureen.