Wednesday, October 13

Birthday party ya Candy ilikua bombaaa

Mdau Candy  Wilson Maula wa Arusha alishrehekea siku yake ya kuzaliwa ya kutimiza miaka miwili hivi karibuni...hii ndiyo birthday party yake ilivyonoga...

...tamtam...ngazi tatu, hapa hadi asiyeimba anakula!

...mwenyewe anaideku kwanza...

...nimependa hizi mask...

...making a wish... ...beautiful...
 
Candy  awawasalimu watoto wenzake na kuwashukuru rafiki zake baby Nicole, Gabriela, na Batlet na wengine wote kwa kuhudhuria kwenye Birtday yake anasema anamshukuru mungu kwa kutimiza miaka 2. anawapenda watoto wote.

No comments: