Friday, October 22

Happy birthday Ryan

Leo mdau Ryan Godphrey anatimiza anatimiza miaka mitano (5).

Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Ryan maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.

1 comment:

Anonymous said...

hongera mungu amkuze