Sunday, November 21

Happy birthday Christian na Audrey

 
Leo wadau Christian na Audrey anatimiza anatimiza miaka miwili (2). 
 
(Kiukweli I love this pic...wakati wanabatizwa, sometimes mwaka jana)

Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tuwamtakia Christian na Audrey maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu awajaalie sana. 
(Ma'mtu Anna, tunasubiri pics za  birthday party)

No comments: