Wednesday, November 24

Karibu Emelda

 M-cuuuuute huyu ni mdau mpyaaa... anaitwa Emelda ana umri wa miezi mitatu na nusu...Karibu Emelda...

Hapa yuko na ma'mtu, Renista ambaye abasema: "Emelda is my sunshine, hunipa faraja whenever am down. Love her so much."

2 comments:

Ma mkubwa Chika said...

Karibu cute baby Emelda, Unakaribishwa sana na dada na kaka yako Dorothy, Mary na Malcom. Wanakutakia afya njema, ukue ufike kama wao.

Mama Felista said...

mrembo Emelda alivyo katika picha ya peke yake utadhani alishaanza kukaa, amekaa vizuri bila hata wasiwasi nimependa.

Kila lakheri mama mtoto.