Thursday, November 25

Birthday party ya Serah ilikua bombaaa

 
Mdau Serah Congo ametimiza miaka miwili, tarehe 21, novemba 2010. 
Hii ndio ilikua birthday party yake...ambayo ilikua ni ya kukata na shoka...wadau walikua kibaoooooo kumpa sapoti!

Ma'mtu na ba'mtu Judith Isaya na Mr Congo wakidekeza b'day girl.......tam tam...
...baba na mama wakimpa tafu mdau kwenye kulishana keki....

...mdau akiicheki sahani ilivyochafuka hata hajui aanzie wapi...

 
Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Serah maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana. 

No comments: