Saturday, November 20

Happy birthday Ronald

Leo mdau Ronald Godfrey anatimiza anatimiza miaka mitatu (3).

Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Ronald maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.  

No comments: