Thursday, November 18

Carine anawapa hi!

Mdau mcuuuute Carine, ambaye amefikisha miezi kumi Jumapili iliyopita anawapa hi wadau wooote.

Hapa yuko na dada yake...

1 comment:

Elyc said...

OMG!! Mtoo muzuri wewe!! Mungu akukuze kimo na akili!!