Sunday, November 14

Kaila anaperuzi ratiba za 'kantuni'

Xchyler aka X  na siku hizi ana aka anayojiita mwenyewe; Kaila, akiangalia ratiba za 'kantuni' kwenye dish...

5 comments:

Anonymous said...

Habari mama X. Nilimmisi X Nimefurahi kumuona.Nilipenda alivyotoka na uniform zake siku yakwanza alipo ripoti Shule.

Sipati picha Felista wangu atakapo anza kubeba kabeg kake kwenda shule.

Hongera kwakukuza hadi kafikia kuperuzi vipindi vyake.

Nawatakieni kila lakheri.

Mama Felista wa Norway.

Anonymous said...

najua hajua kusoma, ila nimependa kwamba hajageuza gazeti, angalau anaonekana kama anasoma kweli!!!

Anonymous said...

mama x nimemiss sana x usiache kutuwekea picha tufurahi pamoja na watoto

Anonymous said...

Duh X una mikwara dogo! kama mumy wako Jiang! sasa next time beba Dailynews litakufunika kote! nawapenda.
Mama Josh

Anonymous said...

X anaonyesha atakuja kua msomi, mungu amlinde kimwili na kiroho pia

by mama Carine