Tuesday, November 9

Happy birthday Yasser


Leo mdau Yasser Abdulaziz Hamid anatimiza anatimiza miaka miwili (2).

Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Yasser maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.

No comments: