Saturday, April 21

High heels na matumbo yetu vipi?Check size ya hayo matumbo ya JLo (juu) na Jessica Simpson (chini) afu check urefu wa hizo heels...ni kweli wanakua wanatoka mlangoni na kuingia kwenye gari, wanashuka kwenye gari mlango huu hapa...ila duuuuh, is this not dangerous?
Na sie tunaotaka kutoka sambamba nao; wakivaa leopard print tunao, sijui BF watch na sie tumo, inakuaje hapa? tunakopi na kupaste au haya mengine tunapotezea?

3 comments:

Anonymous said...

kwa kweli si vyote vya kuiga jamani! kwa hili mama X mie hapana coz hata Doctors wanatushauri tuvae flat shoes sasa hawa wenzetu mmh hapana! Ukijikwaa bahati mbaya ni aje??? tofauti na ukiwa na flat shoes ukijikwaa bahati mbaya kuanguka au kutaka kuanguka kwake si kwa purukushani kama ukiwa na hizo heels.

Mama E.

Anonymous said...

Wenzetu wanakuwa kwenye magari all the time ndo maana wanavaaa heels. Sasa sie wengine ambao daladala ndio usafiri wetu sidhani kama zinatufaa..
Ingawa ndo hivi tena haziruhusiwi..

Anonymous said...

mi naona co big deal sana kwao coz ni wa2 wa mazoezi all the time....sio kama sisi ambao hata kuruka wengine ni ishu so kuvaa viatu vrefu kunazidi kukaza nyonga