Friday, April 20

Kidole kitammm

...mdau Jonell akifaidi utam wa kidole...kwa picha hii nani anabisha kwamba kidole kitam?
Tatizo ni pale wanapogoma kukiacha kama X wangu, miaka minne na kidole, dah, sio cute tena..natafuta dawa!!!

3 comments:

Anonymous said...

So cute!! Kidole kitaaammmm haswa naona. Issue ni kukiacha jamani. Mie wanangu wote wamepitia hili zoezi la kunyonya kidole na huyu mdogo ana miaka 3 na nusu bado ananyonya sana hadi imemwalibu dental formula yake ila akiwa busy anacheza hanyonyi! Mkubwa(6) kapunguza kidogo hunyonya akiwa kitandani analala. Hata sijui nifanyeje waache jamani! Mnisaidie mama X.

Mama E.

Jiang said...

Mie mwenyewe kidole cha X kimenishinda kabisa... nimeshafanya karibu kila kitu nimeshindwa...

Anonymous said...

Hilo tatizo la kitaifa tehe!tehe!Miye Joella naye anacho sijui ataacha lini au ndio hadi ukubwani kama dada zake Brianna na Blessings. Kazi kweli kwweli