Tuesday, April 10

Mamaz/Doctors msaada plzzz!

Wadau, mwenzetu anaomba msaada mwenye experience na hii atusaidie...

Natumai upo ok! Naomba unsaidie mwanangu ana tatzo kupata choo  kikubwa najitaid kumpa maj kumpa uj wa dona vyakula vilain km ndz bkoba lakn tatzo bdo lpo mpaka nilmpeleka hosptal wakanishaur nimpe maj kwa wing uji wa dona nk lkn bdo ana tatzo! Akiwa anataka pata choo anajikakamua sn lakn kinatoka choo kdogo km gololi au kikija kinakuja kgumu! Help me plz ana miez tisa mwanangu!

7 comments:

Anonymous said...

just add fruits and veggys to your kids diet.eliminate bananas and add papayas,carrots,peas,pumpkins,watermelon,strawberries,apples,sweetpotatoes,red beans and yogurt. this helps a lot.

Anonymous said...

Papai ndio dawa ya choo kigumu. Mtafutie papai lililoiva (laini) mmenyee ale.

Anonymous said...

Pole sana mamii,na pole ya baby pia! ushauri wangu kwako ni.. jaribu kumpa mtoto maji ya uvuguvugu pind amalizapo kula na mara kwa mara fanya hivo.pia uwe unampa papai lililoiva kwa wingi.bila kusahau mchanganyiko wa matunda,mboga mboga kwani vyakula lain tu haitoshi.Epuka kumpa dairy Products(from Supermarket).Usisahau kumpa juices, co za spermarket mama, Blend matunda,especialy papai mix na maembe yalioiva,cku nygnne ndizi mbivu mix na papai, yan unapangilia mchanganyiko wa matunda lain kadri uwezavyo!Katika makala mbalimbali za afya inasemekana tatizo hili huisha lenyewe pacpo tiba/kuleta madhara kiafya,na hujulikana kama CONSTIPATION hata kwa wakubwa lipo! Zaidi pia angalia na diet yake je n well-balanced diet anayopata mtoto per day!?. Asante.

Anonymous said...

Pole mdau.. hapo kiboko yake papai!
achanana na kumlundikia mauji ya dona,co usimpe kabisa..hapana..
hata juice nzito ya papai mixed with banana ni super!

Anonymous said...

Jitahidi kumpa maji ya vuguvugu, kumfanyisha zoezi la kuzungusha miguu kama anaendesha baiskeli.Mweke alale kwa mgongo na kuizungusha miguu yake.Na umpe stomach massage taratibu. Pia wewe mama kama unanyonyesha upunguze dairy food; ie maziwa, jibini, na ule mbogamboga kwa wingi.

Anonymous said...

Fresh oranges and orange juice, ndizi ya kuiva ila iwe bado mbichi kiasi ule utelezi/utomvu ndo unaosaidia. It helps with my kids!

Anonymous said...

Dada kwenye mchanganyiko wa uji wa mtoto hakikisha unachanganya na karanga nyingi zina saidia sana kumlainishia choo, pia kama unachanganya na ngano acha kwanza kumuwekea ngano. mimi mwanangu alikuwa anahangaika pia kupata haja kubwa nikaja kugundua kumbe ngano ilikuwa inamfunga choo