Saturday, April 7

RIP Kanumba


Pasaka hii imekuja vibaya kwa watanzania hasa wapenda Bongo movies kufuatia kifo cha Bongo muvi mega star, Steve Kanumba.
There is nothing we can do about zaidi ya tunaoenda kwenye nyumba za ibada usiku huu na kesho, na hata siku zijazo tumuombee Mungu amlaze mahali pema Kanumba.
Ni kifo cha ghafla, na kiukweli, Kanumba has gone too soon!

No comments: