Saturday, April 7

Shooting ya mwisho ya Xyleen

Binti yangu bizeeeee...

Xyleen anaonekana kwenye Fema TV Talk show tangu February...na kiukweli nilikua sijawahi kwenda kumwona akiwa on site... Wiki iliyopita ndio walifanya shooting ya mwisho, nikajiiba kwenda kumchungulia...
 Hapa ni baada ya kumaliza kazi...yuko na bibi na baba wa kwenye igizo...

...nooo, huwa hawi mwenyewe, yuko na meneja, aka Bibi akimpa kampani siku zote, kuanzia shooting ya kwanza akiwa na miezi miwili, hadi sasa akiwa na miezi 7...basically amekulia kwenye kipindi!!!
kazi imeisha, its play timeeee...
  

Kwa wale ambao hamjawahi kumuona, hamjachelewa...ukiangalia ITV saa moja na nusu jioni ya leo utamuona.
Pia, Xyleen ataendelea kuonekana kwenye Fema TV Talk Show kila saa moja na nusu jioni ya kila Jumamosi kwenye station ya ITV na kila saa tatu usiku ya kila Jumatatu kwenye station ya Star TV hadi mwezi May...

No comments: