Friday, June 1

Toa damu usaidie wanaohitaji...


Benki ya Exim inafanya kampeni ya kuhamasisha watu kutoa damu ili iwasaidie wakinamama wajawazito...
Nimepata hii taarifa sasa hivi, na event yenyewe inafanyika pale Exim Towers kuanzia saa 5 (1100) leo hii. 
Kwa atakayeweza tafadhali njoo tujitolee kusaidia akina mama wengi wanaohitaji damu wakati wa kujifungua. 
Pamoja, tuokoe mama kama ambavyo tungeweza kuokoa mtoto!
Mie ntakuwepo, tuonane hapo ndani ya nusu saa ijayo.

No comments: